8 Oct 2025 10:31 am | Citizen TV 142 views Duration: 2:11 Wakazi wa Birikani mjini Voi kaunti ya Taita Taveta ambao wanaishi katika shamba la kijamii la Kishamba B wameandamana wakitaka kupimiwa ardhi zao na kupewa hatimiliki.