- 421 viewsDuration: 1:35Wakazi wa eneo la Bori, Kaunti Ndogo ya Moyale wamelalamikia kutengwa na serikali mfulilizo katika ngazi ya kitaifa na Kaunti. Wakazi hao waliandamana kupinga kile walichotaja kama ukiukaji wa haki zao za msingi, wakisema kuwa eneo lao bado linakosa huduma muhimu kama maji, kituo cha afya, barabara bora, pamoja na mtandao.