- 219 viewsDuration: 1:09Huku zoezi la usajili wa wapigakura wapya likiendelea kote nchini,wakazi wa eneo bunge la Webuye magharibi wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili ili washiriki kwenye uchaguzi mkuu ujao. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa shirika la inua A I linaloangazia masuala ya vijana Humphery Muchuma aliyekuwa akizungumza baada ya kutoa mafunzo ya kidigitali kwa viongozi na waumini wa kanisa la marafiki