Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa eneo la Madogo wahofia hasara na maafa kutokana na mafuriko

  • | Citizen TV
    61 views
    Wakazi wa Madogo kaunti ya Tana River wanaishi kwa wasiwasi baada ya mto Gariso kubadili mkondo wake na kusababisha maporomoko ya udongo karibu na makazi yao hali inayotishia maisha yao. Kulingana na wakazi hao, ukosefu wa uwajibikaji miongoni mwa viongozi waliowachagua umechangia tatizo hilo kwani wanasema pesa zilizotengewa kuthibiti hali katika eneo hilo zilihamishiwa miradi mingine. Sasa wanataka idara ya majanga katika kaunti hiyo kushughulikia swala hilo kabla mvua inayotarajiwa eneo hilo kunyesha.