1 Dec 2025 10:42 am | Citizen TV 471 views Duration: 2:15 Wakazi wa eneo la Shirikisho na vitongoji vyake katika eneo bunge la Garsen, Kaunti ya Tana River, wamefanya maandamano kushinikiza kupewa lokesheni yao mpya wakilaumu Chifu wa sasa kwa madai ya upendeleo na unyanyasaji.