- 627 viewsDuration: 3:31Wakazi pamoja na viongozi wa Eselenkei Group Ranch katika Kaunti ya Kajiado wamekubaliana kutia saini mkataba wa uhifadhi wa mazingira unaohusisha zaidi ya hektari elfu kumi na mbili. Mpango huo unalenga kuboresha maisha ya jamii na kulinda wanyamapori.