- 83 viewsDuration: 1:53Wakazi wa eneo la Kambi ya Juu katika kaunti ya Isiolo wamekosoa mashirika ya uchunguzi na usalama katika eneo hilo wakiwashutumu kwa kutochukua hatua kuhusiana na mauaji ya mmoja wa wakazi mnamo mwezi Disemba mwaka jana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive