Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Likoni walalamikia kubomolewa kwa makaburi ya watoto kupisha ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    298 views
    Wakazi wa Mwedza Likoni kaunti ya Mombasa wamelalamikia kubomolewa kwa makaburi ya watoto mtaani Soweto kwa ujenzi wa barabara. Wakazi hao wanalalamikia kutupwa kwa mchanga na mabaki yaliyofukuliwa katika makazi yao. Wakazi hao wanasema hatua hiyo ni dharau kwa familia zilizofiwa na inakiuka sheria.