24 Nov 2025 10:17 am | Citizen TV 313 views Duration: 57s Wakazi kutoka Eneo Bunge la Magarini wamewarai viongozi kuheshimu sheria na utaratibu wa kupiga kura ili kuzuia vurugu wakati wa uchaguzi mdogo Alhamisi.