- 215 viewsDuration: 1:45Wakazi wa Malindi Kaunti ya Kilifi wameandaa mkutano unaoongozwa na wazee kutoka maeneo tofauti ili kutathmini changamoto zinazowakabili. Mkutano huo umekua ukifanyika kila mwaka huku Malengo yakiwa kufahamu matatizo ya umma kama vile uhalifu , matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa masuala mengine ya kiusalama.