Wakazi wa Mavoko waitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya kampuni zinazochangia uchafuzi wa mto Athi

  • | NTV Video
    95 views

    Baadhi ya wakazi wa eneo la Mavoko, Machakos wanaitaka serikali ya kaunti ya Machakos kuchukua hatua dhidi ya kampuni zinazochangia uchafuzi wa mto Athi bila kuzingatia uhifadhi wa mazingira.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya