13 May 2026 11:30 am | Citizen TV 184 views Duration: 2:00 Wakazi wa mji wa Malindi kaunti ya Kilifi wametakiwa kukoma kutupa taka ovyo ili kudumisha usafi wa mazingira ya mji huo.