Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa mpakani Kenya na Uganda wataka ukaguzi mkali wa wasafiri

  • | Citizen TV
    158 views
    Wakenya wanaoishi katika mpakani wa Kenya na Uganda wameitaka serikali kutilia mkazo vipimo na ukaguzi wa wasafiri wote wanaoingia na kutoka nchini. Wakazi hao wamesema hatua hiyo ni muhimu katika kuimarisha usalama na kudhibiti hatari zinazoweza kujitokeza kupitia mipaka ya nchi.