11 Dec 2025 10:46 am | Citizen TV 245 views Duration: 1:57 Wakazi wa mtaa wa Showground mjini Kapsabet katika kaunti ya Nandi wanalalamikia utovu wa usalama ambao wanasema umekithiri kwenye mtaa huo na kuwahangaisha kwa muda mrefu sasa.