- 1,054 viewsDuration: 2:07Wakazi wa mtaa wa Umoja 2 wanahofia mlipuko wa magonjwa kutokana na kuziba kwa mabomba ya kupitisha maji taka. Mabomba hayo yamezibwa kwa mwaka mmoja sasa. maji taka yametapakaa kote na kuhatarisha maisha haswa ya watoto. aidha kuna hofu kuwa maambukizi ya malaria kutokana na mbu. sasa wanaitaka serikali ya kaunti kuwajibika na kufungua mambomba ya maji taka ili kuzuia janga.