8 Oct 2025 10:44 am | Citizen TV 151 views Duration: 2:01 Viongozi wa kaunti ya Taita Taveta wanaitaka wizara ya utumishi wa umma na huduma kwa jamii kushirikiana nao ili kujenga kituo cha Huduma katika eneo bunge la Mwatate.