27 Nov 2025 2:02 pm | Citizen TV 311 views Duration: 3:32 Zoezi la upigaji kura katika wadi mbili kaunti ya Turkana linaendelea vyema. Wakazi wa Wadi ya Nanam Turkana Magharibi na Lakezone Turkana Kaskazini wanashiriki zoezi hilo baada ya wawakilishi wa maeneo hayo kuaga dunia.