14 May 2026 11:39 am | Citizen TV 116 views Duration: 1:06 Wakazi wa kaunti ya Nandi wamehimizwa kuongeza juhudi katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ili kusaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa .