14 May 2026 11:30 am | Citizen TV 88 views Duration: 2:02 Wakaazi wa Ol Donyiro mpakani mwa kaunti za Laikipia na Isiolo wamepinga vikali mipango ya kuhamisha eneo la ujenzi wa bwawa la Crocodile Jaw , kwenye mto ewaso ng'iro kutoka eneo lililokubaliwa awali.