Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Runyenjes wasema hakuna huduma bora za afya kwa kukosekana kwa wodi za wanaume

  • | Citizen TV
    149 views
    Duration: 1:50
    Wakazi wa Runyenjes katika kaunti ya Embu wamelalamikia kosefu wa wodi za wanaume katika Hospitali ya Runyenjes. Hali hii inawalazimu wagonjwa kutafuta matibabu katika hospitali za kibinafsi au hospital za umma zilizoko mbali. Wakazi pia wamelalamikia ugumu wa kupata vipimo vya afya katika hospitali hiyo na sasa wanataka serikali ya kaunti ya Embu kuwajibika na kuimarisha utoaji wa huduma za afya hospitalini humo. Hata hivyo Afisa wa huduma za afya katika kaunti ya Embu Jamal Runyenjes amedokeza kuwa ujenzi wa wodi za wanaume umeanza na kwamba huduma za afya zimeimarishwa kwa asilimia 80