- 206 viewsDuration: 3:44Mchakato wa kupokea maoni kuhusu uuzaji wa asilimia 15 ya hisa za serikali katika kampuni ya Safaricom unazidi kuvutia hisia mseto. katika mikutano uliofanyika katika kaunti za Samburu na Kajiado, Wananchi walielezea hofu yao kuwa mpango huo ulikuwa na nia fiche hasa ikizingatiwa inatekelezwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa mwaka ujao, huku baadhi wakiunga mkono uzzaji wa hisa hizo