11 Dec 2025 2:01 pm | Citizen TV 293 views Duration: 1:15 Katika Kaunti ya Wajir, wakazi wa Eneo Bunge la Tarbaj waliandamana wakilalamikia mchakato wa ujenzi wa barabara ya Tarbaj hadi Kutulo.