9 Nov 2026 10:34 am | Citizen TV 389 views Duration: 2:01 Wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wametakiwa kudumisha umoja na kuishi kwa amani licha ya tofauti za kikabila na kisiasa, ikizingatiwa kuwa kaunti hiyo ni makazi ya watu kutoka makabila yote nchini.