- 346 viewsDuration: 1:54Shughuli katika hospitali ya Naivasha Level four zilitatizika kwa muda leo baada ya wakaazi kuandamana wakilalamikia msongamano na hata kujikokota kwa mfumo wa malipo ya bima ya SHA. Wakazi hao pia wakiwa na ghadhabu kufuatia agizo la kuzuia kuingia kwa vyakula kwenye wodi za wagonjwa