Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wapinga mradi wa kupanda nyasi kwenye ardhi yao wakisema hawakuhusishwa na serikali ya kaunt

  • | Citizen TV
    0 views
    Wakazi wa kijiji cha Gafuru katika ya kaunti ya Tana River wameandamana kupinga mradi wa upanzi wa nyasi unaotekelezwa na mwekezaji mmoja kwenye kipande chao cha ardhi bila idhini yao. Mwekezaji huyo aliingia kwenye mkataba na serikali ya kaunti hiyo kukodesha ardhi ya ekari 12, 000 kwa miaka 60 ili kutekeleza mradi huo. Hata hivyo wakazi hao wamelalama kuwa serikali ya kaunti imewalazimishia mradi huo bila kuwa na mazungumzo nao.