10 Oct 2025 1:07 pm | Citizen TV 127 views Duration: 1:52 Kaunti ya Migori imeadhimisha Siku ya Mazingira kwa kampeni kubwa ya kusafisha na kupanda miti katika hafla iliyowaleta pamoja maafisa wa kaunti, wafanyikazi wa Benki ya Equity, na wakaazi .