- 627 viewsDuration: 3:30Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi IEBC Erastus Ethekon amezindua rasmi zoezi la usajili wa kuendelea wa wapiga kura huku akitoa wito wa ushirikiano kufanikisha zoezi hili . Ethekon amezungumza kaunti ya Kwale wakati wa uzinduzi rasmi wa zoezi hili linalotarajiwa kukamilika tarehe 28 mwezi wa Aprili.