Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wahimizwa kupanda na kutunza miti

  • | KBC Video
    83 views
    Duration: 1:37
    Mwanamazingira Dr. Isaac Kalua Green ametoa wito kwa wakenya kuwajibikia ukuaji wa miti wanayoipanda. Dr Green aliyasema hayo wakati wa siku ya mwaka huu ya kupanda miti kuambatana na umri wako ambayo huadhimishwa kila tarehe 14 mwezi Septemba ambako alisema kuwa miti mingi hupandwa na taasisi na watu binafsi ila inatelekezwa bila kutunzwa. Sasa amezindua kitabu kipya na programu kwenye simu za mkononi ili kuimarisha uwajibikaji katika ukuzaji miti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive