- 11,457 viewsDuration: 28:10Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika uwanja wa kitaifa wa NYAYO jijini Nairobi kwa Ibada ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga. Odinga atazikwa siku ya Jumapili Octoba 19 kando ya baba yake Jaramogi Oginga Odinga. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw