28 Oct 2025 10:50 am | Citizen TV 370 views Duration: 1:42 Wakenya wanaoishi Ughaibuni wamehimizwa kuelekeza sehemu ya zaidi ya dola bilioni 3.5 wanazotuma kila mwaka, katika sekta ya afya ili kuchochea maendeleo endelevu humu nchini.