Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wapinga mfumo mpya wa NTSA wa kutozwa faini za papo kwa hapo

  • | NTV Video
    3,996 views
    Duration: 3:25
    Huku madereva wakitozwa faini za papo kwa hapo kwa kuendesha magari kupita mwendo unaohitajika jijini Nairobi, Wakenya zaidi wamekimbia kortini kupinga mfumo mpya wa NTSA unaonuia kuimarisha nidhamu barabarani. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya