Serikali sasa inachukulia mvua ya El Niño inazotarajiwa kati ya mwezi wa Oktoba na Desemba kama suala la usalama wa kitaifa, huku Wakenya wakitakiwa kutii maagizo ya usalama ili kuzuia vifo na uharibifu wa mali.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya