Skip to main content
Skip to main content

Wakenya waungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya mazoezi ya Yoga

  • | KBC Video
    56 views
    Duration: 3:40
    MAZOEZI YA YOGA Huku dunia inapoadhimisha siku ya kimataifa ya mazoezi ya viungo ya Yoga, mamia ya wakenya waliungana na maafisa wa kibalozi katika uwanja wa Visa Oshwal ulio Westlands, jijini Nairobi,kuadhimisha siku hiyo ya kimataifa ya kale ya mazoezi ya viungo na afya ya kiakili.Hafla hiyo iliyoandaliwa na ubalozi wa India ilitumiwa kuangazia umaarufu wa mazoezi ya yoga nchini Kenya katika kuhakikisha afya bora. #WorldcupIkoKBC Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive