1 Dec 2025 1:15 pm | Citizen TV 977 views Duration: 1:22 Serikali inasema itaongeza juhudi za kukabiliana na maambukizi mapya ya HIV kote nchini huku Kenya ikiungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya ukimwi duniani.