Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wawili bado wamezuiliwa Tanzania, mwili wa mwalimu haujaopatikana - Musalia Mudavadi

  • | Citizen TV
    2,770 views
    Duration: 1:29
    Mkuu wa mawaziri musalia mudavadi amesema ni wakenya wawili pekee ambao bado wanazuiliwa na serikali ya Tanzania kufuatia ghasia za uchaguzi nchini humo. Akitoa taarifa bungeni, Mudavadi amesema serikali inawasaidia wakenya hao kupata Uhuru wao. Hata hivyo mudavadi amesema juhudi za kuutafuta mwili wa mwalimu aliyeuwawa nchini humo bado hazijafua dafu licha ya waziri kuiandikia serikali ya tanzania barua ya kushinikiza kuwasilisha mwili wa mwalimu John Ogutu