- 347 viewsDuration: 3:15Watu zaidi ya elfu tatu katika maeneo ya mutulani eneo bunge la kaiti kaunti ya Makueni na ambao wamekuwa wakihangaika kwa kukosa huduma za afya na hususan afya uzazi,wamepata afueni kubwa baada ya wakfu wa Mpesa kwa ushirikiano na serikali ya makueni, kujenga hospitali ya kujifungulia ya Mutulani . Hospitali hiyo imewekwa vifaa vya matibabu vya takriban shilingi milioni 17.