11 Dec 2025 1:19 pm | Citizen TV 9,999 views Duration: 2:07 Wakimbizi kutoka nchi jirani ya Somalia Raskiamboni wanoishi kijiji cha Kiunga, mpakani mwa Kenya na Somalia kaunti ya Lamu wanaiomba serikali kuwapa vitambulisho vya Kenya ili wapata uraia.