- 1,719 viewsDuration: 3:03Wakiukaji wa sheria za trafiki watakabiliwa kisheria papo hapo msimu huu wa sikukuu, huku mashirika mbalimbali ya serikali yakishirikiana kupunguza ajali za barabarani. Baraza la kitaifa la utoaji haki NCAJ pia imetangaza mipango zaidi ya kupunguza ajali za barabarani ikiwemo maafisa wa tume ya ufisadi kuwepo barabarani pamoja na maafisa wa NTSA.