Wakristo waadhimisha Jumapili ya matawi inayoashiria mwanzo wa Juma takatifu

  • | KBC Video
    8 views

    Miito ya utumishi wa kujitolea ilisheheni makanisani huku wakristo wakikusanyika kuadhimisha jumapili ya matawi inayoashiria mwanzo wa Juma takatifu. Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana Jackson Ole Sapit kwenye ujumbe wake, aliihimiza serikali izingatie wakenya wengi wanaotatizika kujimudu kimaisha inapoanzisha ushuru mpya. Mgomo wa madaktari unaoendelea vile vile uliangaziwa kwenye mahubiri ya siku hii ya mitende, huku miito ya kutafuta suluhu haraka ikitolewa ili kuepusha mzozo huo wa afya. Huu hapa mseto wa taarifa kuhusu siku ya matawi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive