Wakulima katika kaunti ya Baringo waelezea wasiwasi kuhusu mbolea bandia

  • | KBC Video
    22 views

    Baadhi ya wakulima katika kaunti ya Baringo wameelezea wasiwasi wao kuhusu ubora wa mbolea waliyonunua kutoka kwa bodi ya kitaifa ya nafaka na mazao ‘NCPB’. Wakulima hao ambao wametayarisha mashamba yao kwa upanzi, wametilia shaka uhalisia wa mbolea hiyo ambayo wanadai ina changarawe na chembechembe za chumvi ya mifugo. Maafisa wa polisi katika eneo la Eldama Ravine wameanzisha uchunguzi kuhusu madai hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive