Wakulima wa kahawa kutoka Kisii wakutana na wakuu wa muungano wao kujadili mustakabali wa sekta hiyo

  • | Citizen TV
    124 views

    Wakulima wa kahawa kutoka maeneo mbalimbali kaunti ya Kisii wanafanya mkutano na wakuu wa muungano wa mashirika ya wakulima Union ) kujadili mustakabali wa sekta hiyo eneo nzima la Gusii.