Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa makadamia wakadiria hasara Embu

  • | Citizen TV
    96 views
    Duration: 2:58
    Wakulima wa makadamia katika eneo la Runyenjes, Kaunti ya Embu, wanakadiria hasara kubwa kutokana na kuzorota kwa soko la zao hilo.Wakulima hao sasa wanazishutumu kampuni za uchakataji pamoja na serikali kwa kupuuza maslahi yao, huku baadhi yao wakitishia kukata miti ya makadamia kabisa.