12 Nov 2026 1:45 pm | Citizen TV 52 views Duration: 1:32 Wakulima wa maparachichi kutoka eneo la Kandara Kaunti ya Murang'a wamewasilishia ombi katika Bunge la Kaunti wakitaka litunge sheria kali zaidi zinazosimamia uvunaji na uuzaji wa maparachichi, ili kukomesha wizi wa zao hilo.