- 80 viewsDuration: 4:07Wakulima katika kaunti ya Busia County wameanza kuachana na kilimo cha miwa na mahindi ambacho kwa miaka mingi kilikuwa chanzo kikuu cha mapato yao, kutokana na hasara kubwa wanazodai kuendelea kupata. kutokana na changamoto hizo, kakulima wengi sasa wamegeukia milimo cha soya na mtama