- 342 viewsDuration: 2:13Zaidi ya ekari mia moja za mpunga zimeharibiwa kufuatia mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo katika kaunti ya Kisumu. Wakulima kutoka eneo la Kochieng wanakadiria hasara kubwa, kwani wengi walikuwa wamejitayarisha kuvuna hii leo