Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa pamba kaunti ya Lamu wataka serikali kupiga jeki kilimo cha pamba

  • | Citizen TV
    66 views
    Duration: 1:48
    Wakulima wa pamba kaunti ya Lamu wamehimiza serikali kupiga jeki kampeni ya "buy Kenya, build Kenya" kwa kuhakikisha kuna kampuni zaidi za kutengeneza manguo eneo hilo kama njia ya kuongeza ajira na kuhimiza ukuzaji wa pamba