14 Oct 2025 10:17 am | Citizen TV 115 views Duration: 1:25 Wakulima wa kahawa Kutoka eneo Bunge la Tongaren kaunti ya Bungoma sasa wanaitaka serikali kuu na ile ya kaunti kusulihisha matatizo ya sekta hiyo.