14 Oct 2025 1:30 pm | Citizen TV 0 views Wakulima wa kahawa Kutoka eneo Bunge la tongaren kaunti ya Bungoma Sasa wanaitaka serikali kuu na ile ya kaunti kusulihisha matatizo ya sekta hiyo.