- 165 viewsDuration: 3:19KILIMO ENDELEVU Wakulima wanahimizwa kuanza kukuza aina mpya ya maharagwe yanayodhamiriwa kuimarisha rotuba kwenye udongo na vile vile kuongeza mavuno huku Kenya inapojitahidi kuimarisha rotuba kwenye udongo na kuhakikisha kuwepo kwa chakula cha kutosha.Mwanasayansi wa kituo cha kimataifa cha kilimo katika maeneo yenye mvua nyingi na joto Boaz Waswa anasema kampuni tatu za kibinafsi zimepewa leseni za kuanzisha kilimo biashara cha aina hiyo ya maharagwe yanayokomaa haraka na kutoa mavuno mengi ,yaliyo na madini mengi ya nitrogen yanayoweza kusaidia kurejesha rotuba kwenye udongo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive