Wakulima wahofia mazao kuharibika kwa kukosa uwanja wa kuanika mahindi katika eneo la Perkerra

  • | K24 Video
    30 views

    Wakulima katika eneo la Perkerra, wanaofanya kilimo katika mradi wa Perkerra, Baringo kusini wanahofia mazao yao kuwa huenda yakaharibika kwa kukosa uwanja wa kuanika mahindi, huku mvua ya El Nino ikitarajiwa kuanza mwezi oktoba.